Thursday, October 23, 2014

PICHA:HIVI NDIVYO NDUGU YETU YP ALIVYOZIKWA HAPO JANA

.
.
Aliyekuwa staa wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambilikile Mwakalekamo aka YP ameagwa jioni ya jana  katika viwanja vya TCC Chan’gombe na kuzikwa makaburi ya Chang’ombe Dar es Salaam.Miongoni mwa watu ambao walihudhuria ni pamoja na Professor Jay,Babu Tale,Kajala,Juma Nature,Said Fella,Chegge,AllyKiba na wadau mbalimbali wa muziki.
Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya YP.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC_0508
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.