Thursday, October 16, 2014

PICHA:NAIBU WAZIRI WIZARA YA USHIRIKIANO ATEMBELEA MELI YA RV JUMUIYA JIJINI MWANZA

Naibu Waziri Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Juma Abdulla Saadala  mwenye kofia akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya kazi na nahodha wa meli hiyo  Captain Juma Nkwama jijini Mwanza.
Naibu Waziri wa Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Abdulla Saadala akitia saini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.
Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Juma Saadala akifafanua jambo ndani ya Meli ya RV Jumuiya katika kikao chake na naodha wa meli hiyo Peter Nkwama na Muhandisi wa meli hiyo Herman Bundala.
Meli ya RV Jumuiya Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa gatini jijini Mwanza