Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya Diamond Platnumz katika Show ya Mtikisiko Nov 22, kifo cha Geez Mabovu chawa sababu.
Msanii pendwa hapa nchini Tanzania na nchi ambaye ni Heat maker wa Mdogo mdogo maarufu kwa jina la diamond platnumz amepigwa marufuku na wasanii wa kizazi kipya mkoani iringa kwa kile kilichozaniwa kuwa diamond hana msaada wowote kwao wao kama wasanii, Ishue nzima ni msiba
wa mwanamuziki wa miondoko ya hip hop maarufu kwa jina la Geez mabovu wamekasirishwa na kitendo cha Diamond kuto kuandika chechote katika account zake za mitandao ya kijamii wala kutoa tamko lolote kama ameguswa na kifo cha msanii Geez mabovu wakati katika harakati za kutafuta nafasi ya kutoka kimuziki Diamond alimuomba Geez mabovu kufanya nae nyimbo ambapowalifanikiwa kufanya nyimbo ya pamoja ambayo ilikua inaitwa Jisachi na ndo nyimbo inasemekana ilimfungulia milango ya kufanikiwa kimuziki msanii Diamond, Licha ya Diamond kupata mualiko wa kufanya show mkoani Iringa baadhi ya wasanii mkoani hapo wamepanga kuaribu kwa makusudi show ya Diamond amboyo imeandaliwa na kituo cha redio cha Ebony fm kilichopo mkoani hapo iringa, moja kati ya wasanii wenye njama ya kutaka kumualibia Diamond anaitwa Najo mkali ameandika katika ukurasa wake wa facebook yafuatayo.
CHANZO: djjonamusic.blogspot.com