Mwakilishi wa Tanzania aliyesalia kwenye shindano la Big Brother Africa, Idris Sultan ataendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania baada ya Jumapili hii kuokolewa na kura za mashabiki barani kote.
Hata hivyo Idris anaweza akawa amejeruhiwa kwa mara ya kwanza baada ya rafiki yake wa karibu, Samantha wa Afrika Kusini kuondolewa. Mrembo huyu ameungana na mwakilishi wa Malawi Mr. 265 kufungasha virago.
Habari zote za Big Brother zinaruka hewani kupitia site pendwa ya www.bigbrotherafricans.com
Bado hujachelewa <<< BOFYA HAPA>> Kujionea kila kitu kutoka ndani ya Jumba hilo la kikubwa.