Sunday, November 23, 2014

KIZAAZA CHAIBUKA BAADA YA FACEBOOK YA MAREHEMU GEEZ MABOVU KUTUMIKA


Du jamani hivi kweli hii ni akili au matope .... Kuna mtu asiyefahamika leo amezua kizazaa baada ya kutumia Ac ya Marehemu Geaz Mabovu... kizazaa hicho kimetokea muda mchache baada ya ku badilisha Profile picha na kuendelea kui Update Ac hiyo na kusababisha mashabiki kujiuliza mbara mbili kuwa Marehemu kafufuka au?