Sunday, November 2, 2014

MMMH ILI VAZI LILILOBUNIWA NA MISS TEMEKE NOMA, VIDUME SEMENI SASA LIMEKAA KICHOKOZI AMA VIPI?



MAMODO WA KWETU FASHION WAKIONYESHA
VAZI ALILOBUNI ,MISSY TEMEKE



MISSY TEMEKE
Missy Temeke  wa kwetu fashion,siyo jina geni kwenye tasnia ya urembo na
fashion.ni Mwanadada mrembo aishie nchini Marekani
anayejihusisha zaidi na ubunifu wa  mavazi yenye mwonekano wa
kitanzania na kiafrika chini ya label yake ya KWETU FASHION.
.ametoa collection mpya ya vazi Lenye mwonekano wa kiafrica..