Monday, November 10, 2014

MMMH MTOTO LULU KAMA BEYONCE VILE, TAZAMA HIZI PICHA ALIVYOTUPIA KAMA BEYONCE YANI


Bila kutarajia Lulu ameingia ndani ya Red cappet ya tuzo za watu akiwa ametokelezea mbaya, akiwaacha midomo wazi makamera man waliokuwa akifyatua picha hapo. yaani 
utazani Beyonce kaingia kupokea tuzo. sijui mpenzi wa Blog hii unampa maksi ngapi?