Sunday, December 14, 2014

Baada ya ile ya kupima kilevi, Jeshi la Polisi limekuja na kifaa hiki ambacho wanavalishwa madereva

unnamed (21)Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, Mathias Chikawe amezindua kampeni ya Usalama Barabarani iliyoandaliwa na Kikosi cha Usalama Barabarani na kuratibiwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania ambayo ina lengo la kuwahimiza madereva kutopokea simu wakati wakiwa Barabarani huku wakiwa wanaendesha magari.
Akizungumza wakati wa kuendesha zoezi la kuwavalisha vifaa maalum kama pete ambavyo vitatoa ishara iwapo dereva atatumia simu wakati akiwa anaendesha gari,Chikawe amesema “… Wasitumie simu huku wakati wakiendesha magari, kwa sababu hiyo nitakuvisha hiki.. Hii ni alama kila saa itakukumbusha kwamba ngoja nifike kwanza ndio nitume ujumbe wangu au nifike kwanza ndio nipige simu yangu…
unnamed (12)
unnamed (13)
unnamed (17)
unnamed (18)
unnamed (19)
unnamed (21)
Kuisikiliza sauti niliyokurekodia taarifa hiyo kutoka ITV bonyeza play hapa.
Un