Friday, December 12, 2014

BAADA YA KUTAMBIA HUKO INSTAGRAM HATIMAYE AGNESS MASOGANGE NA CORAZON KWAMBOKA WAKUTANA


Agness Masogange na Mwanadada Mkenya
Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run
mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana
uso kwa uso , Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia
vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili
Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja…..Kwa unavyoona
Who is Cute zaidi?