Wednesday, December 31, 2014

CHECK HII VIDEO MVUA ILIVYODHALILISHA UWANJA WA NDEGE DAR SALAAAM ...WAVUJA KINOMAA

Aibu Kubwa Imetokea Katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar  baada ya Mvua Kubwa Anayonyesha Kuvuja Ndani ya Sehemu ambapo Abiria wa Mataifa mbali Mbali ukaguliwa Tickets zao Kabla ya kuingia Kwenye ndege, tukio hilo limeshuhudiwa na Raia mbali Mbali Kutoka nchi tofauti waliokuwa wakifanya ukaguzi waTickets zao..

Angalia Video ya Aibu Hapa:


<<BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>