.
Wakazi wa 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Mzee Yusuph kwenye viwanja vya Dar Live uliopo Mbagala Dar es Salaam ambapo mshindi wa BBA Idris Sultan pamoja na Samantha ni miongoni mwa waliohudhuria show hiyo.
Hizi ni baadhi ya picha mbalimbali zikiwemo za Mshindi wa BBA Idris Sultan na Aliyekuwa mwakilishi wa Afrika Kusini Samantha
Mzee Yusuph kwenye stage
.
.
.
.
.
.
.
Diamond Platnumz kwenye Stage
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Idris akizungumza machache na kutoa shukrani kwa mashabiki.
Idris Sultan na Samatha wa Big Brother Africa 2014 wakiwasalimia mashabiki .
Diamond Platnumz akimsalimia Samantha wa Big Brother Africa 2014
.
.
Pichani ni Aliyekuwa mwakilishi wa Afrika Kusini kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha.
.
.
.
.
.
.
Diamond Platnumz akikabidhiwa tuzo ya Ijumaa Sexiest Bachelor 2014/15 kutoka kampuni ya Global Publisher
.
.
.