Sunday, December 14, 2014

HIVI KWELI UNAWEZA KUAMINI KUWA HUYU NDIYE MSANII WA KIKE MWENYE MVUTO ZAIDI KULIKO WEMA NA LULU?

Anaitwa Batuli (jina la kisanii), diva wa
bongo movie..inasemekana ndiye mwenye
mvuto zaidi kuliko wasanii wote wa kike
katika tasnia nzima ya Bongo
movie...Tuambie unakubalina na hii hoja au
wewe wadhani ni nani ana mvuto zaidi?!