Tuesday, December 30, 2014

PICHA: DIAMOND NA ZARI KUTOKA BURUNDI HADI RWANDA!!

Baada ya show yake ya Burundi, Diamond Platnumz amefunga safari na Zari The Boss lady wakielekea Rwanda ambako kwa mujibu wa Post ya Diamond, atakuwa huko mpaka mwaka 2015.