Thursday, December 11, 2014
PICHA GUMZO ZA KAJALA ZAZUA BALAA MTANDAONI AONESHA NA UTAMU WAKE KIDOGO...JIONEE HAPA!
Akionekana mwenye furaha kwa tabasamu na pozi mbalimbali maeneo ya ufukweni , Kajala Masanja ambae ni muigizaji na mkurugenzi wa K entertainments, aliziweka picha zake hizi mtandaoni na kuandika:
“Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali” akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.Kilichofanya nizilete hapa ni likes na comments za ‘Followers’ wake ambao kwa kwa muda wa chini ya nusu saa picha (hiyo aliotupa mgongo) ilipata “Likes” zaidi ya elfu tatu na Comments zaidi ya mia tano. watu wakimsifia kwa umbo na mvuto alionao na hasa vidume wengi wakionyesha kupagawa zaidi na uumbaji huu.
Je, kibongobongo tunaweza sema Kajala ame BREAK THE INTERNET kwa picha hizi au ame SHUTDOWN THE INTERNET?