Monday, December 8, 2014

PICHAZ: WADAU WAJITOKEZA KUMUONA DIAMOND SAFARI CLUB WENGINE WAKINUNUA TIKETI KWA WINGI....!!


Shabiki wa Diamond Mariam Mashaka akiwa na tiketi 6 alizonunua siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 wakati alipokuwepo Safari Club na mgahawa wa Afrika mashariki walipokuja mashabiki wa Diamond kmsalimia lakini Diamond anawasili leo Jumamosi muda wowte kuanzia sasa. 

kutoka kushoto ni Rama Tonsa, Moses Iyobo, Dj Romy Jones na Bahia shabiki kutoka New York.

Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka akiwa na mwanae na Sunday Shomari wakiwa ndani ya mgahawa wa Safari uliopo Washington DC walipokuwa wamekwenda kumsalimia Dimaond.


Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly akiwa na Asha Hariz katika [picha ya pamoja.
 
Mashabiki wa Diamond wakifurahia jambo.

 
 Mashabiki wa Diamond wakipata picha ya pamoja


Wadau wakiwemo ndani ya mgahawa wa Safari
kwa picha zaidi bofya soma zaidi