Tuesday, December 30, 2014

WEMA AZUNGUMZA ANAVYOJISIKIA BAADA YA DIAMOND KUWA NA ZARI!!

 
U Heard ya leo December 29 iko hapa, Gossip Cop alihudhuria shughuli ya kutambulisha msanii mpya ambaye atakuwa kwenye Management ya Endless Fame iliyofanyika Tegeta Dar siku ya jana December 28, akapata nafasi ya kuzungumza na Wema na jinsi anavyojisikia kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari.

Wema alisema anachukulia fresh, hana tatizo lolote na yoyote kati ya wawili hao kwa sasa ameendelea na mambo yake.

“... Aisee nawapenda… such a good couple. Wivu wa nini, I wish him all the best and ammmm… I wish him happiness …” Wema Sepetu.

Kwa bahati mbaya wakati wakijiandaa kutoka ukumbini hapo baada ya mahojiano hayo Wema alipata jeraha baada ya kubanwa kidole na mlango wa gari.

<<BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>