JENGO LAANGUKA NA KUJERUHI WATU MJI MKONGWE, ZANZIBAR
Kikosi cha Uokoaji kikitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi katika eneo la tukio.
Muonekano wa jengo hilo baada ya kuanguka.
JENGO moja llililopo eneo la Mji Mkongwe, Zanzibar limeporomoka na kujeruhi watu kadhaa leo majira ya saa tano asubuhi. Idadi kamili ya majeruhi katika ajali hiyo bado haijafahamika.