LULU ANAJARIBU ‘KUBREAK THE INTERNET’ KIBONGOBONGO KWA PICHA HIZI
Elizabeth ‘Lulu’ Michael anajiribu kufanya kile alichofanya Kim Kardashian ‘Break the Internet’ katika level ya kibongo. Hata hivyo tofauti na Kim, Lulu hajaonesha umbo lake kama lilivyo japo picha zimewavutia wengi. Jionee.