Sunday, January 4, 2015

MAAJABU YATOKEA KABURI LA KANUMBA, ISHARA MBAYA KWA WASANII WA BONGO MOVIE

Mwisho wa mwaka umekuja kivingine baada ya kaburi la aliekuwa mwigizaji staa maarufu wa bongo muvi Steven Kanumba kuonekana na ishara za ajabu. Hishara hizo zilizowaogopesha baadhi ya wasanii wa bongo movi na bongo fleva wakiwemo Lulu na Diamond ambapo zilipotafisiria zilionesha kuwa zinawagusa wao moja kwa moja.
Baadhi ya wasanii walotembelea kaburi la kanumba hivi karibuni waliziona ishara hizo pembezoni mwa kaburi hilo bila kuelewa zilikotoka na zina maana gani kuwepo hapo, ndipo walipowafuata wakufunzi wa mambo ya ishara ili waweze kujua maana ya alama hizo.

Siku inayofuata yaani jumamosi ilopita wakufunzi wa ishara waliongozana na wasanii hao na wakazikuta tena ishara hizo na walipotafsiriwa zilikuwa na maana ya AMANI, UPENDOna  UMOJA. Ambapo wakufunzi wa mambo ya ishara wlisema hii inawagusa wote wasanii hata wanajamii ambao walikuwa wanamsupport steven kanumba kwa kazi zake kuwa tunapaswa kuwa na upendo umoja na amani baina yetu.

Lakini kuna alama nyingine kuna alama nyingine mbili wakufunzi hao walikataa kuzitolea maana yake wakidai hizi zina maana mbaya kwa wasanii Lulu na Diamond na wasingependa wazielezee kwani hawana ruksa ya kuzisema na pia wataishitua jamii kama watazisema. Pia walisema kwani hata hao wasanii alama hizo zilishawahi kuwatokea mara nyingi tu kwa kanumba mwenyewe kuwapelekea ila walizikaidi ndio mana leo hii nzimetokea na hapa kaburini kwake.

Ila tu wakufunzi wa ishara walisema wasanii hao kama watazipuuzia tena ishara hizi mpaka zitoweke hapa basi kuna jambo baya linaweza kuwatokea kwa hivyo ni vyema wakafanya walichoambiwa kulingana na ishara zinavyotaka kwani hata wao wanajua nini wanatakiwa kufanya