Sunday, January 4, 2015

RENE PAUL AWAPAKA WAROPOKAJI: "KIDOLE CHAKO KIENDAPO KWA MWENZIO VITATU VIMEKUGEUKIA!!"


MREMBO na mwigizaji wa sinema za hapa bongo, Irene Paul ukipenda muita “Angeline Jolie” wa bongo, leo siku ya jumapili amewatolea ujimbe mzito wale wote wanaopenda kuzungumzia mapungufu ya watu huku wakisahau pia wao wanamapungufu ambayo watu hawaya semi.

 “Unapojikuta unawekeza mda mwingi kuchunguza mapungufu ya mtu jiulize una mangapi ambayo unayo na watu hawayaongelei??kidole chako kiendapo kwa mwenzio vitatu vimekugeukia”. Aliyasema haya na kusisitiza huo ni mtazamo wake tu jamani.kwahiyo msijenge chuki