Habari zenu wadau wote hii page? Tuzidi kukumbushana sababu waTanzania wote tunapendana! JAMANI USIENDESHE GARI UKIWA UMELEWA!!!!!!! ASUBUHI NJEMA!, mpe neno moja huyu jamaa, je unahisi ameamua tu kutuchekesha au ni akili za ulevi ndo zmepelekea afanye kituko kama hiki