Mabibi na Mabwana Davido ametusogezea hii video mpya- The Sound
.
Staa wa Nigeria David Adedeji Adeleke aka Davido time amekuletea video ya single mpya inayoitwa The Sound akiwa amewashirikisha Dj Buckz pamoja na kundi la Uhuru kutokaea Afrika Kusini.