Friday, January 23, 2015

TAZAMA UTANI TOKA KENYA

1.
Ati
wee
ni
m-
black
mpaka
ukiingia
kwa
dinga
(gari),
dirisha
zinakuwa
tinted!
2.
Kwenu
kuchafu
mpaka
mende
zinatema
mate.
3.
Vile
wewe
mfupi,
ukipiga
picha
ya
passport
inatokea
full.
4.
Ati
(house)
yenu
ina
gate lakini hakuna fence. 5. Baba alienda ku buy
ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo
imetoboka. 6.Wee mblack mpaka ukikutana na
mzungu afternoon anakusalimia: Good evening. 7.
Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na
kukinyesha kunakuwa na jam. 8. Paka yenu noma
mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na
pilipili. 9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa
inafika kwa tumbo ikiwa mgando. 10.Wewe ni
mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint
nyeusi. 11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha
toothpick 12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa
uchi 13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi
geti mnaingiza ndani 14. Kwenu ni wengi sana
hadi mmeweka round about ndani. 15. Wewe ni
mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya
supu. 16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.
17. Una chogi refu hadi ukigeuka haraka unaweza
kuliona. 18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia
kwenye daladala konda anakwambia "abiria
usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier