Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz usiku wa kuamkia Jan 2 amefanikiwa kudhihirisha kwanini anakubali Afrika Mashabiki baada ya kuzikonga nyoyo za mashabiki wa nchi yaRwanda kwa show kali iliyofanyika katika viwanja vya Amahoro Stadium.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye show hiyo