VIDEO YA ALI KIBA ‘MWANA’ INAVYOCHEZWA KWENYE VITUO VYA KIMATAIFA!!
Video ya Ali Kiba iliyotangazwa kutambulishwa nchi tofauti duniani inaendelea kupata muda wa hewani kwenye vituo vikubwa duniani, Hii ni ushahidikuwa mpaka sasa inachezwa kwenye vituo vya sound city vya Nigeria na Ghana na Channel 10 ya Uingereza.