Monday, February 23, 2015

CHEGE AHUSISHWA NA IMANI ZA USHIRIKINA

kusema ukweli jamani chege hii kitu ingekuwa ya
kufichwa asingekunja hiyo tshirt jamani....pia
kama yanayosemwa ni kweli huwezi kujua hiyo
kitu ni ya nini coz sisi waswahili hayo mambo
yanafanywa sana tu siajabu hata na
wewe...binadamu hukatazwi kufanya huo uswahili
mfano kujikinga dhidi ya watu/vitu
vibaya.....mbaya ni kumdhuru mtu tu lakini kama
unajikinga au jingine lisilomdhuru mwenzio mbona
mi naona hakuna shida??...ila kubali au kataa kwa
maisha haya ya kibongobongo lazima ufike kwa
wataalam eidha kujikinga/kujitibu/au
kuroga...Wengi wetu hapa mna vichale
kadhaa,majumbani mmeninginiza quran, vihirizi
humo sehemu zenu za biashara ndo kabisaa...so
muacheni chege jamani!...kama mpk sasa
hujawahi kukanyaga kwa mtaalamu yeyote basi
bado hujakua au hajakukuta..chezea waswahili
hehehe...muacheni chegge afanye yake mkimfatilia
ATAWAPWEREPWETA written by
usipojipangantakupanga