Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maiizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, Watoto wa mjini wanasema ni #Natural. Hii picha aliweka saa chache baada ya siku ya wapendanao imekuwa mvuto sana mtandaoni kwa msuko wake kichwani na ujumbe wake kwenye nguo aliyovaa.