Tuesday, February 17, 2015

KALI YA MWAKA:ANGALIA HAWA WACHUMBA WALIVYOFUNGA NDOA NDANI YA JENEZA SIKU YA VALENTINE, ANGALIA TUKIO ZIMA HAPA

Ndoa BankokMiongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Ndoa Bankok
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
Ndoa Bankok
Ndoa Bankok 

Chanzo: Daily Mail