Thursday, February 5, 2015

Mwanasheria Alberto Msando Awaponda Wasichana Wanaojiita Ma Boss Lady Bongo, Wengi ni Maboss Lady Uchwara

 Kimezuka Katabia Ka Mabinti hasa huku Instagram na Facebook Kujiita Mabosi Lady Wakati hata hawajui Mabosi Lady Wanatakiwa Waweje..Alberto Msando Amewashukia na Kuwapa Somo Kidogo:


"Siandiki sana kwa sababu ninaowajua mimi maboss lady kusoma kwao ni allergy. Akisoma kitu kinachozidi neno 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' basi anaumwa. Na muda mwingi anapiga selfies na picha za 'about last night with my girls'. Boss ambaye hana cheque book wala huoni picha za ofisini au akiwa bank. My challenge to all boss ladies soma definition then post picha na wafanyakazi wako iwe TBT au now. Ukishindwa basi weka picha na yule dada wa usafi anayekuja mara mbili kwa wiki kukusaidia usafi si anakuita boss??"

Baada ya Kusema Hayo Albert Msando Ameweka Maana Halisi ya Msichana ambae ni Boss Lady

"Boss Lady
THE woman who is in control. People who have never her see her and feel the need to respect her, and do. Runs the show, is cool and collected, gets the job done. Confident, never looks down. Depends respect and gets it.
Because she demands respect, and gets it, she is the Boss Lady."

JE hawa wa Kwetu Bongo Wanaojiita Maboss lady Wanafikia Vigezo Hivyo ? Au ndio Maboss Lady uchwara  wakujua Kusoma 'reception' au 'menu' au 'xoxo' au 'room 301' pekee na kukaa uchi mitandaoni?