Friday, September 19, 2014

MAJI HUFUATA MKONDO: PICHA..KUTANA NA MAMA YAKE KIM KARDASHIAN..

Basi unaambiwa maisha yao ni kama mama na mwana vile.Wale wanaosema kwamba Kim Kardashian anazingua kuweka picha zake za nusu utupu mtandaoni wamekosea sana kwani kumbe ndio tabia yao ya maisha na wanatengeneza pesa nyingi sana kwa kuishi hivyo...!Hii dunia ina mambo jamani!