Petitman Amuiga Diamond, Ajikakamua na Kumzawadia Mke wake Zawadi ya Gari Siku ya Kuzaliwa Kwake
Mjaja wa Mjini Kijana Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond Jana Ameendeleza Series ya zawadi za Magari kwenye sherehe za kuzaliwa baada ya kumzawadia mke wake gari aina ya Toyota Porte...