Monday, March 30, 2015

MSANII HEMED PHD AFUNGUKA KUHUSU KUTUMIA PODA ZA KIKE, NDOA YAKE KUBUMA NA KWA NINI ANAPENDWA SANA NA WADADA

Mahojiano tuliyoyafanya na Mwanamuziki na Mwigizaji Mwenye Skendo Nyingi Bongo..Tulimweka Mguu Kati na Kumbana Vilivyo na Kuweza Kufunguka Kwanini Anatumia Poda na Lipshine za Kike pia Kuhusu Ndoa aliyohaidi 2014 kubuma na mwisho alisema kwanini anapendwa na Wadada mpaka muda mwingine kumgombania
 ANGALIA VIDEO FUPI HAPA CHINI AKIFUNGUKA UKWELI WAKE: