Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) akimtoka beki wa Malawi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mechi iliisha kwa sare ya 1-1.
![]() |
| Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi |
![]() |
| Haroun Chanongo akipasua katikati ya mabeki wa Malawi |
![]() |
| Beki wa Tanzania, Aggrey Morris akimdhibiti mshambuliaji wa Malawi |
![]() |
| Shomary Kapombe akitafuta maarifanya kumpita beki wa Malawi |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya kiungo wa Malawi |




