Jana March 29 2015 ilikuwa burudani pale Club Bilz, mtu wetu Diva aliandaa show kali ambayo ilipewa jina la ‘Diva With Friends’.. akawepo Ali Kiba, Godzilla, Jokate na wengine kibao.
Huenda haukuwa DAR ama uliikosa burudani hiyo, hapa nina pichaz kutoka kwenye show hiyo mtu wangu..

Muba, Mtangazaji Perfect, Godzilla, producer Lamar na Doreen ‘Deeandy‘.

Mo Music.

Abdu Kiba na Ali Kiba.

Jokate akiwa kwenye stage na dancers.