Thursday, March 26, 2015

Utata wa Picha za utupu za Msichana Huyu Kwenye Mitandao

Kama ni mpenzi wa Hekaheka nakusogezea hii iliyosikika leo mtu wangu, inatoka Shinyanga ambapo kuna story ya msichana ambaye ana wana tabia ya kujipiga picha za utupu na kuzisambaza Whatsapp na Facebook.
Marafiki wa karibu wanasema kwamba amekuwa akijipiga picha hizo na kuwatumia marafiki zake pamoja na wanaume, huku akijisifia uzuri wake, ambapo wao wanaona kitendo hicho ni udhalilishaji hata kwao pia.
Kijana mmoja ambae alitumiwa picha na msichana huyo amesema alishangaa kurushiwa picha hizo japo hakujua lengo la msichana huyo.
Msichana ambaye ametajwa kurusha picha hizo amesema kwamba alipiga picha hizo na rafiki yake lakini baadae akashangaa kuona picha hizo zimeenea.