Gazeti la Kiu Limepenyezewa Ubuyu kuwa Ali Kiba amebuni Vita Mpya Kwa Diamond Kwa kuwafyeka mademu wote walio wahi kuwa na uhusiano na Diamond..
Taarifa toka vyanzo vya ndani vinaeleza tayari Ali Kiba Ameshaanza mashambulizi kwa Jokate ..na tukio la hivi karibuni Uwanja wa Dar Live ambapo Ali Kiba Alisindikizwa na Mrembo Jokate limezidi kutia uzito Jambo hilo ambapo zimeanza kujadiliwa mitandaoni Hasa Instagram..
Mbali na Mtoko wa Hao wawili Dar live kwenye Instagram kuna akauti yenye jina la "Jokiba" ikisapoti Mapenzi ya Hao wawili ..Mtu wa Karibu wa Ali Kiba Alipohojiwa Alisema kuwa ni kweli hawa watu wapo karibu sana ila hana uhakika kama Wameanza Mchezo wa Baba na Mama...
Aidhaa kunaTaarifa nyingine kuwa Wema Sepetu ambaye naye alishakuwa ex wa Diamond siku hizi za karibuni amejaribu kujenga uhusiano wa karibu na Ali Kiba katika kile kinachoelezwa kuwa ni Kutafuta namna ya kulipiza kisasi kwa Diamond..