Friday, April 24, 2015

BAADA YA DIAMOND,ALLY KIBA,NA MASANJA SASA NI ZAMU YA MADEE,SHUHUDIA GHOROFA LAKE ANALOMILIKI

msanii Madee ikiwa leo April 23 ni siku yake ya kuzaliwa anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka leo 23 April 2014 Madee amesema Msiba wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi za Dogo