Sunday, April 5, 2015

CHANGAMKIA AJIRA HAPA:NAFASI KIBAO ZA AJIRA SERIKALINI.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 

OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE

TANGAZO LA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo

NAFASI: MAAFISA WATENDAJI WA VIJIJI (Nafasi 5)

Sifa
• Awe na Elimu ya kidato cha IV au VI
• Awe na AstashahadaiCheti katika moja ya fani zifuatazo
• Utawala wa sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya
Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo
Dodoma au chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
• Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 40

Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs 345,000/= kwa mwezi

Masharti ya Jumla.-
• Barua za maombi ziambatane na taarifa binafsi (CV), nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na vyeti vya kuzaliwa, vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
• Asiwe aliachalachishwalfukuzwa kazi kwenye utumishi wa umma
• Picha moja ya rangi (Passport size) kwa mawasiliano
• Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa.
• Barna zote ziandikwe kwa rrikono zenye anwani sahihi na namba za simu
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17 Aprili,2015
• Maombi ya tumwe kwa anwani ifuatayo:-

Imetolewa na:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA (W)
IlEJE
S.L.P 02
ILEJE

SIMU Na. 25-2570060
FAX Na. 25 -2570056

Source: Mwananchi 2nd April 2015
=============

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE

TANGAZO LA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo

NAFASI: KATIBU MUHTASI III – (Nafasi 1)

• Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
• Awe amehudhuria mafunzo ya Uhazili
• Awe amefaulu somo la Hati mkato, Kiingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja
• Awe amehudhurua na kufaulu mafunzo ya computer katika chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika Programu za Windows,
Microsoft offfice, Internet , E-Mail na Publisher
• Awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40

Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs 345,000/= kwa mwezi

Masharti ya Jumla.-
• Barua za maombi ziambatane na taarifa binafsi (CV), nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na vyeti vya kuzaliwa, vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
• Asiwe aliachalachishwalfukuzwa kazi kwenye utumishi wa umma
• Picha moja ya rangi (Passport size) kwa mawasiliano
• Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa.
• Barna zote ziandikwe kwa rrikono zenye anwani sahihi na namba za simu
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17 Aprili,2015
• Maombi ya tumwe kwa anwani ifuatayo:-

Imetolewa na:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA (W)
IlEJE
S.L.P 02
ILEJE

SIMU Na. 25-2570060
FAX Na. 25 -2570056

Source: Mwananchi 2nd April 2015
=============

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA ILEJE

TANGAZO LA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo

NAFASI: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU III (Nafasi 6)

Sifa:
• Awe na elimu kidato cha IV au VI
• Awe mwenye cheti cha Utunzaji Kumbukumbu katika moja wapo ya fani ya Afya,Mahakama, Masjala na Ardhi
• Awe amefaulu mtihani wa Higher Records Management