Tuesday, April 14, 2015
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag kuingilia mambo ya watu lakin imezid sasaaaaa!!!!!sio vizuri jiweken nafas yake muone kama hamjajinyonga!WEMA kiukweli unamoyo wa kishujaaa sana napenda sana mwanamke awe hivyo MUNGU ndoanamajibu yote achana nao wenye kudandia yasiyo wahusu maana watajikuta wapo kama pweza wanamiguu lakin kusimama hawawez.....”-Irene Uwoya ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Hii ni baada ya Wema hivi majuzi kufunguka mtandaoni kuwa anatamani sana kuwa mtoto lakini huwezo hana.