Ukiwataja
Buggati Boys kwenye mambo ya soka basi huwezi kumuacha Karim Benzema
mkali kutoka Real Madrid. Kama ulikua hujui ni kwama huyu jamaa ni
shabiki mkubwa wa vitu vya luxury kuanzia mavazi hadi magari. Hizi ni
baadhi ya picha akiwa kwenye maisha yake ya kawaida.