Saturday, April 18, 2015

SAMSUNG YAZINDUA SIMU MPYA GALAXY S6

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia John Mngogo akipata maelezo kutoka kwa Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S6 iliyozinduliwa jana kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam , Kushoto ni Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji.
Hy Zong Sun Seo Mkurugenzi Mtendaji wa Samsung Electronics Tanzania akiielezea simu hiyo mpya wa wageni waalikwa mbalimbali waliojitokeza katika uzinduzi huo.Sylvestre Manyara Nteere , Meneja wa Mauzo na Usambazaji akifafanua zaidi wakati akitoa maelezo ya simu hiyo ya Samsung Galaxy S6.Wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyoWageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyoBaadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Samsung Tanzania wakiwa katika hafla hiyoBaadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Rukia Mtingwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano NBC na Cecilia mwandishi wa habari kutoka Radio Uhuru wakiwa katika hafla hiyo.