Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.
Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.
Source:EFM
Miss Wema Sepetu |