Babu Tale ni meneja wa msanii
Diamond Platnumz alipita kwenye studio za
TZAakafanya interview ambayo nimekusogezea kwenye
AyoTV.
Huenda kuna mengi hujawahi kuyasikia kuhusu yeye, anayo na mengine kazungumzia ya kuhusu Diamond, hii hapa ni Part 1 ya hii exclusive interview, bonyeza play uicheki.