BIFU KUBWA LAZUKA KATI YA CHAGGA BABY NA MISS TEMEKE..CHANZO NI HIKI HAPA
na haya ndio maneno ya vitesho kutoka kwa chagga baby Missy Temeke Mie huwa naheshimuu watu wazima, umepiga simu umejieleza Ndio maana post niliitoa. Kama nilivyokueleza sipendi ugomvi NA Watu wazima NA dada yangu Tunu uliemtusiii sipendi uendelee kumdhalilisha huko Facebook