
Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania
Diamond Platnumz ambae zamu hii kamshirikisha mkali kutoka
Nigeria Mr.Flavour kwenye single inaitwa
Nana kupitia kwenye mikono ya director
GodFather.
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumwimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond baada ya kuitazama video na atapita kusoma comments za watu wake.