DJ FETTY AKANUSHA UVUMI WA YEYE KUONDOKA CLOUDS
Sijui nani /kinda nani wameandika au kusema, but naona swali nimeulizwa na watu wengi kwa wingi. Naomba nijibu kiufupi tu.... SIJAONDOKA CLOUDS, NIPO NIlIKUWEPO na NTAENDELEA KUWEPO. Nikiondoka Clouds ujue nimeacha kabisa maxi yacht UTANGAZAJI.... Asanteni kwa kuuliza.. Mbarikiwe