Huyu ndiye mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo anaitwa Cookie
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel alijifungua mtoto wa kike siku ya Alhamis May 21. Mtoto huyo wa Aunty Ezekiel ambaye baba yake ni dansa wa Diamond aitwaye Mose Iyobo, amepewa jina la Cookie.