Huruma Chuchu Hanc ameshambuliwa kwa maneno ya kasfa na wasanii wawili wa Bongo movies Irene uwoya amedai mdada huyo anashapu ya henga wakimaanisha mwembamba amesimama kama namba moja.Wakati Johari Chengula amemdhihaki kwakudai mdada huyo amekaa kama mti.
Johari amekua akimwonea wivu msanii mwenzake Chuchu Hanc kwakua alimpokonya tonge mdomoni nakumchukua mpenzi wake Ray Kigosi.Johari toka kuachwa huko na Ray Kigosi wamebaki na uhusiano wa kazi kama wamiliki wa kampuni ya RJ company ya utengenezaji filamu.Upande wa Johari mapenzi hayajamkalia vizuri toka kuachana na star huyo wa filamu.