Saturday, May 30, 2015

LOWASSA ACHARUKA 'PEKUA UNAPOWEZA, NILETEE SEHEMU MOJA TU YENYE USHAHIDI WA SAUTI YA MWALIMU NYERERE KUNIKATAA..ZAWADI NONO NTAMPA

Watu wabaya jamani...mzee wa watu watu wanamzushia kinoma ili tu asiwe rais...yaani mpaka kuna wanao sema Nyerere alimkataaa..sasa yeye kasema hayo zawadi hiyo changamkia ...