Monday, May 25, 2015

MDAU AFUNGUKA KUHUSIANA NA TEAM WEMA

Samahani kwa usumbufu@mrekebishatabia.. Kupitia makubwa haya blog.mm binafsi nampenda sana wemasepetu na team yake... Ila kuna watu hawajui nini maana ya timu....sasa ukishakua unampenda mtu me nafikri ukimsapoti yy inatosha kwann wasiwe kama wemadaily au wemareply jaman.... Watu wanaojiita timu wema af wanaongea vitu vya wengine mm wananikera sana..em waambie waachane nao coz hawatuhusu na mpaka jamii inafikiri kua wemasepetu huenda anawatuma hawa watu...em jamn tusaidiane kutokomeza hiki kitu... Tunaomba tusaidiane ktk hili plzzzz Ifike mahala team wema wadeal na wema only en not otherwise..... Nafkiri hii itazidi kumfanya wema ang'aree zaidi, Suala lililotokea jana limetukera wengi sanaaaa Why dont them deal with s'one they love???kwa nn isiwe wema only kwenye page zao?? (hata kama wakimtukana wema, hapungukiwi kitu, nguvu waelekeze kwa wema, kwann wahangaike na mtu ambaye hahangaiki nao??? Tunaomba msaada wako mpendwa) Team Wema All the way frm Dodoma...